kelao
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 8,132
- 5,800
Habari za jioni wana JF,naomba kujua kwa wale walioisoma rasimu ya II ya katiba mpya iliyokabidhiwa kwa Rais hivi karibuni,rasimu hii ya II imependekeza nini kuhusu wakuu wa mikoa na wilaya katika uteuzi wao.Itakumbukwa kuwa hawa wakuu wa mikoa na wilaya wamekuwa wakifanya kazi kisiasa zaidi kuliko kiserikali.!