Wakuu wa mikoa wapanguliwa

Samahani wandugu. Aulizaye ataka kujua.

Huyu LUKUVI sio yule KILAZA asiye na degree na alinunua degree PACIFIC au sijui wapi?

Nimeuliza tu!

Mh Lukuvi kapiga kitabu mpaka darasa la 8 siuji kwanini hakwendelea naona angeweza kidogo
 
Mimi sioni kama Mkuu kafanya lolote, ni aibu tupu!! RC mbeya hajamugusa yuko kule kwa kazi maalum
 
Amepangua tena? Huyu Mkulu naona uongozi ameshindwa anacheza mchezo wa marede!

Anavyopangua utafikiri Maximo anavyopangua Taifa star kibaya zaidi no changes at all.Tutaendelea kupiga mark time tu siku zinayoyoma.
 
Hivi watu hapa JF mnategemea maendeleo kutokana na hizi Ceremonial Posts?......mara mnasema hakuna mabadiliko....oohh mara Mwakipesile kaachwa.......

...Hivi akiwepo RAS peke yake Mkoani haitoshi?.......
 

Mkuu umenikumbusha. Wakati Lowassa alipotajwa kama chaguo la Rais kwa Uwaziri Mkuu Bungeni, jamaa akashuka na kuchuchumaa akiongea nae jambo kwa dakika kadhaa (ilionekana dhahiri kwenye LIVE coverage). Inawezekana alikwenda kutubu.
 
mi nafikiri huyu Dr.Jk amefikia ukingoni mambo magumu kaelemewa.kila nikiangalia kuanzia mawaziri,ma rc na m dc,wote vichwa vibovu ni nini jamani mbona nchi iko hivi lakini dr.ishengoma sina ana phd? jamani mbona ni msomi tu au kanunua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…