Ng'wizukulumbasa
Member
- Nov 26, 2013
- 22
- 2
Katika hali ya kushangaza Afisaelimu ya Sekondari wa wilaya ya Itilima mkoani Simiyu amewaambia Wakuu wa Shule wapatao kumi waliohamishwa kutoka shule moja kwenda shule nyingine kuwa hawatalipwa pesa yoyote baada ya kuhamishwa.
Afisa huyu aliyasema hayo katika kikao kilichofanyika tarehe 22/3/2014 na akatishia kumvua madaraka mkuu wa shule yeyote atakayeonekana kutokubaliana na uamuzi wake huo.
Tunaomba viongozi wa ngazi za juu walichunguze suala hili maana afisa huyu amekuwa akitumia udikteta kwa walimu katika masuala mengi,hali ambayo inaweza kuvunja moyo na ari ya kazi kwa wakuu hawa wa shule