Wakuu wa wilaya na Mkesha wa Muungano, watakesha na akina nani? Wasiwasumbue watumishi wa Umma

Wakuu wa wilaya na Mkesha wa Muungano, watakesha na akina nani? Wasiwasumbue watumishi wa Umma

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Mkesha huu hapa! Utakesha na nani?
Ukikesha na watumishi wa Umma, ujiandae kuwapa posho, nauli na chakula.

Angalizo.

IMG-20240425-WA0028.jpg
 
Hii ni kweli au prank? Naomba iwe mzaha. Ila kama ni kweli

Hii nchi itakuwa kituko jamani, sasa huu si ujinga na upumbavu kabisa ,hizo pesa zitakazotumika hapo ni kheri zingetumika kununua chakula Kwenye baadhi ya vituo vya watoto yatima .
Kulipo.kugharamia huo mkesha
 
Iwe kituko mara ngapi, hii nchi ni kituko,

Kuna jamaa humu ana kamsemo kake huenda mbinguni nchi hii ni chanel ya komedi.🤣
 
"We are electing idiots to lead us." Ptofesa P. L. O. Lumumba
"We call them honorouble while they are horrible." Profesa P. L. O. Lumumba
We gave fools our public office.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hilo eneo la mkesha wahakikishe watu wa usafi wamefika kufanya usafi kabla ya saa kumi na mbili asubuhi vinginevyo yatakuwa yale yale ya mikesha ya mwenge kuzagaa "kwa msaada wa marekani"
 
Hii ni kweli au prank? Naomba iwe mzaha. Ila kama ni kweli

Hii nchi itakuwa kituko jamani, sasa huu si ujinga na upumbavu kabisa ,hizo pesa zitakazotumika hapo ni kheri zingetumika kununua chakula Kwenye baadhi ya vituo vya watoto yatima .
Kulipo.kugharamia huo mkesha
Punguza ujuaji watu wenye mattzo huwezi kuwamaliza na shida za watu haziishi kwa pesa na chakula cha msaada
 
Hii ni kweli au prank? Naomba iwe mzaha. Ila kama ni kweli

Hii nchi itakuwa kituko jamani, sasa huu si ujinga na upumbavu kabisa ,hizo pesa zitakazotumika hapo ni kheri zingetumika kununua chakula Kwenye baadhi ya vituo vya watoto yatima .
Kulipo.kugharamia huo mkesha
Watoto Yatima kawanunulie wewe chakula.
 
Watoto Yatima kawanunulie wewe chakula.
Nishafanya hivyo Mara kadhaa kama kutoa sadaka Kwa Mungu Ila Kwa serikali kugharamia shughuli kama hiyo ni sehemu ya matumizi mabaya ya fedha za umma.
Kuna vituo vingi sana vya watoto yatima na wahitaji wengine .
Pale Mwanza kuna kituo cha serikali wamehifadhiwa wagonjwa wa ukoma unakuta wanakimbia kituo kuingia mtaani kuombaomba Kwa sababu kituo hakina fedha za kitosha kugharamia chakula chao.
Imafikirisha sana kusoma komenti yako .
Itoshe kusema Mungu amekupa kichwa kama kifuniko cha shingo tu wala sio Kwa ajili ya kufikiri.
POLE SANA KWA KILEMA HICHO
 
Back
Top Bottom