peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
ni hiari lakini mkesha utakua nyomi la watu la kufa mtu.Mkesha huu hapa! Utakesha na nani?
Ukikesha na watumishi wa Umma, ujiandae kuwapa posho, nauli na chakula.
Angalizo.
Iwe kituko mara ngapi, hii nchi ni kituko,Hii ni kweli au prank? Naomba iwe mzaha. Ila kama ni kweli
Hii nchi itakuwa kituko jamani, sasa huu si ujinga na upumbavu kabisa ,hizo pesa zitakazotumika hapo ni kheri zingetumika kununua chakula Kwenye baadhi ya vituo vya watoto yatima .
Kulipo.kugharamia huo mkesha
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣"We are electing idiots to lead us." Ptofesa P. L. O. Lumumba
"We call them honorouble while they are horrible." Profesa P. L. O. Lumumba
We gave fools our public office.
Punguza ujuaji watu wenye mattzo huwezi kuwamaliza na shida za watu haziishi kwa pesa na chakula cha msaadaHii ni kweli au prank? Naomba iwe mzaha. Ila kama ni kweli
Hii nchi itakuwa kituko jamani, sasa huu si ujinga na upumbavu kabisa ,hizo pesa zitakazotumika hapo ni kheri zingetumika kununua chakula Kwenye baadhi ya vituo vya watoto yatima .
Kulipo.kugharamia huo mkesha
Watoto Yatima kawanunulie wewe chakula.Hii ni kweli au prank? Naomba iwe mzaha. Ila kama ni kweli
Hii nchi itakuwa kituko jamani, sasa huu si ujinga na upumbavu kabisa ,hizo pesa zitakazotumika hapo ni kheri zingetumika kununua chakula Kwenye baadhi ya vituo vya watoto yatima .
Kulipo.kugharamia huo mkesha
For sure"We are electing idiots to lead us." Ptofesa P. L. O. Lumumba
"We call them honorouble while they are horrible." Profesa P. L. O. Lumumba
We gave fools our public office.
Nimeona watumishi wamepewa uniform na vitenge kwa ajili ya meimoso, wamepewa mpaka vitenge waje na wake zao. Na posho wameahidowaMkesha huu hapa! Utakesha na nani?
Ukikesha na watumishi wa Umma, ujiandae kuwapa posho, nauli na chakula.
Angalizo.
Nishafanya hivyo Mara kadhaa kama kutoa sadaka Kwa Mungu Ila Kwa serikali kugharamia shughuli kama hiyo ni sehemu ya matumizi mabaya ya fedha za umma.Watoto Yatima kawanunulie wewe chakula.