WanaJf heshima kwenu, nami naomba kukubalika kama mmoja wenu. Hakika Jf ni forum ambayo ina mchango mkubwa sana hapa Tanzania. Hapa Jf mambo ya msingi sana hujadiliwa. Aluta continue Jf.
Feel at home, ila jitahidi sana usiwe na elementi za ki "facebook", pia wakati mwengine siyo lazima kuchangia au kuanzisha mada mpya! Bora kupita na kusoma tu! Wadau wapya wameishusha sana ile dhana ya "u great thinker"