Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu kwa muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na jambo flani ambalo nahic litantia wehu uko mbele nahitaji kukutana na mwanssaikolojia ili anisaidie kulitatua kwa yoyote anayemjua daktari wa saikolojia bingws anijulishe
wakuu daktari bingwa wa hayo mambo ni yesu kristo tu!..pigeni magoti muombe mwenyezi mungu atawaepusha mbali na hofu za dunia
Ni kweli ukisemacho ila mtu mwngn huwa anataman kuweza kumsimulia mtu kilichompata ambae anaamin atamsaidia kisaikolojia ana kwa ana! Mungu wetu ni roho nao wamwabuduo wamwabudu ktk roho na kweli