wakuu wapi ntapata daktari makini wa saikolojia

komeka

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2013
Posts
1,072
Reaction score
403
Wakuu kwa muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na jambo flani ambalo nahic litantia wehu uko mbele nahitaji kukutana na mwanssaikolojia ili anisaidie kulitatua kwa yoyote anayemjua daktari wa saikolojia bingws anijulishe
 
Mimi pia nahitaji daktari wa saikolojia. Tatizo langu ni jinsi ya kumanage hofu (fear) za mara kwa mara. Limekuwa likinisumbua kidogo lakini nahisi linaongezeka. Tafadhali kwa anayemfahamu mwanasaikolojia makini na hospitali anayopatikana, tusaidieni.
 
Mtafuteni DR.CHRIS MAUKI yupo pale UDSM kama sukosei Sociology Dept. Huyu bro huwa anafanya sana kanselin za aina hii.
 
wakuu daktari bingwa wa hayo mambo ni yesu kristo tu!..pigeni magoti muombe mwenyezi mungu atawaepusha mbali na hofu za dunia
 
wakuu daktari bingwa wa hayo mambo ni yesu kristo tu!..pigeni magoti muombe mwenyezi mungu atawaepusha mbali na hofu za dunia

Ni kweli ukisemacho ila mtu mwngn huwa anataman kuweza kumsimulia mtu kilichompata ambae anaamin atamsaidia kisaikolojia ana kwa ana! Mungu wetu ni roho nao wamwabuduo wamwabudu ktk roho na kweli
 
Ni kweli ukisemacho ila mtu mwngn huwa anataman kuweza kumsimulia mtu kilichompata ambae anaamin atamsaidia kisaikolojia ana kwa ana! Mungu wetu ni roho nao wamwabuduo wamwabudu ktk roho na kweli

nenda kijijini kaongee na babu yako au shangazi atakutatulia tatizo lako wanasaikolojia watakula hela zako bure tu wazee ndio mpango mzima wameshakutana na mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…