Mpui Lyazumbi JF-Expert Member Joined Sep 1, 2010 Posts 1,901 Reaction score 410 Oct 17, 2011 Thread starter #41 Bado amenichanganya, na kipindi kimefika mwisho wa awamu ya kwanza, tusubiri awamu ya pili... Aksante tanesco aksante jf
Bado amenichanganya, na kipindi kimefika mwisho wa awamu ya kwanza, tusubiri awamu ya pili... Aksante tanesco aksante jf
Mwendabure JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 2,138 Reaction score 1,044 Oct 17, 2011 #42 Wajemeni Wakuu, leteni uhondo wengine hapa tulipo hakuna TV kwa bahati nina kitu hiki cha tochi namulika hadi JF!
Wajemeni Wakuu, leteni uhondo wengine hapa tulipo hakuna TV kwa bahati nina kitu hiki cha tochi namulika hadi JF!
R reandle JF-Expert Member Joined May 6, 2009 Posts 11,166 Reaction score 8,148 Oct 17, 2011 #43 Kurunzi said: Anasema siku ambayo anaikumbuka ni siku El alijiuzulu, anasema hakutegema kujiuzulu kwa El, Click to expand... Hii inaionesha kwamba, ingekuwa ni yeye basi asingejiuzuru vinginevyo ni nini basi hakutarajia ikiwa anaamini EL alikosa?!
Kurunzi said: Anasema siku ambayo anaikumbuka ni siku El alijiuzulu, anasema hakutegema kujiuzulu kwa El, Click to expand... Hii inaionesha kwamba, ingekuwa ni yeye basi asingejiuzuru vinginevyo ni nini basi hakutarajia ikiwa anaamini EL alikosa?!
Ritz JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 51,303 Reaction score 40,190 Oct 17, 2011 #44 Sitta ni msanii sana, kama sehemu kuna mafisadi si angeondoka sasa analalamika nini wakati ni magamba
Sitta ni msanii sana, kama sehemu kuna mafisadi si angeondoka sasa analalamika nini wakati ni magamba