Wakuu wenzangu ninawakaribisha menu yangu ya kila siku hii hapa

Wakuu wenzangu ninawakaribisha menu yangu ya kila siku hii hapa

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Ukifuata hii menu ninafikiri hutoweza tena kuumwa maradhi yoyote yale.

524781_546897028687778_1158923842_n.jpg

garlic.jpg

Kitunguusaumu.
honey1.jpg

Asali

Na kila siku kula punje moja ya kitunguusaumu kabla ya kula kitu na uwe unakunywa asali kijiko kimoja kila siku asubuhi na usiku Asali safi mbichi ya nyuki inasaidia kusafisha ini na figo,na uwe unatembea kila siku kwa miguu karibu kilomita 5 ninakuapia kwa Mwenyeezi Mungu hutaumwa katika maisha yako fanyeji hivyo Wabongo mutaepukika Maradhi katka maisha yenu asanteni.
 
Mbongo bila ya kujaza tumbo kuna maelewano kweli?
 
Imekaa vizuri kiafya jamani labda utekelezaji wake

Tujitahidi mfano maji, kitunguu swaumu ni vitu ambavyo vinapatikana kwa wingi at reasonable price so inawezekana kabisa.

Asali nk upatikanaji wake sio rahisi na pia gharama zake sio rahisi pia.
 
Mkuu FirstLady1 sio mbali mimi huku ughaibuni ninapenda kutembea kwa miguu kuliko kuchukuwa Taxi ingawa Taxi sio ghali sipendi mambo ya ubwanyenye kama una afya mbona kilomita 5 ni ndogo kutembea kwa miguu?

Ngoja na mie nianze hii Post nitaitunza kwa matumizi ya baadae
 
Itabidi uhamie na wewe tuepukane na vidonge vya viwandani

Hizi tiba nadhani ndio mababu zetu walitumia na kuishi miaka mingi sana

Tatizo ni kwamba hata hayo ma apple, asali, vitunguu swaumu na vingine vingi tu vimechakachuliwa.
 
Mheshimiwa Mzizimkavu, sasa hiyo Tulsi leaf ni mboga gani tena sisi huku kwetu twaufahamu mnavu, kisamvu na mchicha. Nijuze ndugu yangu huyo Tulsi ni nani kwa kiswahili!
 
dr. MziziMkavu akhsanteh....!!

Na mimi naulizia hiyo tulsi leaf..

Halafu mimi hupenda machungwa zaidi kuliko apples..je, ni lazima iwe an apple a day or any fruit a day!??

sipendi asali niliila sana nilipokuwa mdogo nadhani nimetokea kuiona kama dawa...vipi hakuna alternative yake?

natanguliza shukrani.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Mentor hilo jani la tulsi leaf. halipatikani hapo nyumbani linapatikana nchini india ukikosa sio mbaya ukawa unakula hicho kitunguu saumu kinatosha. ukiongeza chungwa na Apple itakuwa jambo poa usikose tunda la Apple muhimu sana mkuu.
 
Last edited by a moderator:
NIMEIPENDA ila kwenye maelezo umesema wabongo kwani we sio mwenzetu au?
Bibie ummu kulthum Kiswahili Lugha ya Taifa bibie nimetumia neno (Wabongo) maana yake nyie Wa-Danganyika Mliodanganyika na Siasa za kibongo bongo ingawa mimi pia ni Mbongo lakini mimi ni Mbongo niliyepo ulaya Mbongo wa ulaya sio mbongo wa Ki-Danganyika upo pamoja na mimi Mnyaturu?
 
Last edited by a moderator:
MziziMkavu asante sana kwa darasa,
mimi huwa natumia unga wa majani ya mlonge mara 2 tu kwa wiki,
natumia mdalasini/ginger na asali japo siyo kila siku,
maji nakunywa almost 2 lts, almost daily, na all these i got from your topics.
na nakwapia niko fit ile mbaya, hata malaria siijui kabisa mkuu.
 
Last edited by a moderator:
pohon ganja di rumah osama biin laden (1).jpg
Na ukijumlisha na hii kitu kwa kuvuta au kuchanganya kwenye mboga aki ya nani kuumwa wewe sahau
 
Back
Top Bottom