Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Na kila siku kula punje moja ya kitunguusaumu kabla ya kula kitu na uwe unakunywa asali kijiko kimoja kila siku asubuhi na usiku Asali safi mbichi ya nyuki inasaidia kusafisha ini na figo,na uwe unatembea kila siku kwa miguu karibu kilomita 5 ninakuapia kwa Mwenyeezi Mungu hutaumwa katika maisha yako fanyeji hivyo Wabongo mutaepukika Maradhi katka maisha yenu asanteni.
MziziMkavu kwako kuna chumba cha akiba nihamie ...
Mkuu FirstLady1 sio mbali mimi huku ughaibuni ninapenda kutembea kwa miguu kuliko kuchukuwa Taxi ingawa Taxi sio ghali sipendi mambo ya ubwanyenye kama una afya mbona kilomita 5 ni ndogo kutembea kwa miguu?Kilomita tano kwa mguu?:biggrin:
Ukishahamia nitonye, nitakuwa nakuja kukusalimia
Mkuu FirstLady1 sio mbali mimi huku ughaibuni ninapenda kutembea kwa miguu kuliko kuchukuwa Taxi ingawa Taxi sio ghali sipendi mambo ya ubwanyenye kama una afya mbona kilomita 5 ni ndogo kutembea kwa miguu?
Itabidi uhamie na wewe tuepukane na vidonge vya viwandani
Hizi tiba nadhani ndio mababu zetu walitumia na kuishi miaka mingi sana
Mkuu Mentor hilo jani la tulsi leaf. halipatikani hapo nyumbani linapatikana nchini india ukikosa sio mbaya ukawa unakula hicho kitunguu saumu kinatosha. ukiongeza chungwa na Apple itakuwa jambo poa usikose tunda la Apple muhimu sana mkuu.dr. MziziMkavu akhsanteh....!!
Na mimi naulizia hiyo tulsi leaf..
Halafu mimi hupenda machungwa zaidi kuliko apples..je, ni lazima iwe an apple a day or any fruit a day!??
sipendi asali niliila sana nilipokuwa mdogo nadhani nimetokea kuiona kama dawa...vipi hakuna alternative yake?
natanguliza shukrani.
Bibie ummu kulthum Kiswahili Lugha ya Taifa bibie nimetumia neno (Wabongo) maana yake nyie Wa-Danganyika Mliodanganyika na Siasa za kibongo bongo ingawa mimi pia ni Mbongo lakini mimi ni Mbongo niliyepo ulaya Mbongo wa ulaya sio mbongo wa Ki-Danganyika upo pamoja na mimi Mnyaturu?NIMEIPENDA ila kwenye maelezo umesema wabongo kwani we sio mwenzetu au?
Mbongo bila ya kujaza tumbo kuna maelewano kweli?