Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Nawatoleeni salam wakuu wenzangu nimepatikana na msiba wa Dada yangu Mpenzi hapo Dars-salaam Vijibweni nawataarifuni wote ndugu zangu wana JF Dada yangu amefariki hii leo saa saba mchana alikuwa mgonjwa na amefariki kwa Umri wa miaka 57 Mungu amlaze pema peponi kama kuna Mtu atataka kuhudhuruia mazishi awasiliane na kaka yangu anayeitwa MR Abdulkadir namba yake ya simu ni hii 0784751850 na ataje jina langu (Saad) MziziMkavu kwa ajili ya mazishi mimi mwenyewe sipo hapo bongo nipo Ughaibuni sitoweza kuhudhuria mazishi Kiroho nitakuwa nao pamoja wafiwa asanteni sana