Wakuu Wenzangu wa JF Nimefiliwa na Dada yangu Mpenzi hii leo

Mkuu MziziMkavu, pole sana kwa huu msiba. Mungu aiweke roho ya Dada yetu mahali pema peponi.
 
Mungu na akutie nguvu, maana imeandikwa furahini mkiangukia

katika majaribu, maana ndipo mnapoenda kuuona ukuu wa Bwana,

kwa kuwa yeye Mungu yu juu ya kila jambo,

Wakati wa huzuni na majaribu ndiyo wakati wa kumuita yeye,

na wakati wa raha ndiyo wakati wa kumshukuru Mungu,

pole sana, MziziMkavu
 
mwenyezi mungu wape nguvu na uvumilivu ktk kipindi hiki kigumu cha msiba.bwana ametoa na bwana ametwaa,jina lake libarikiwe.amen
 
Pole sana Mkuu MziziMkavu........Mwenyezi Mungu akupe nguvu kwenye wakati huu mgumu
 

pole sana kwa msiba huu, Mungu awape faraja wakati huu mgumu na ailaze roho ya Marehemu pema peponi. Amin.
 

Pole sana MziziMkavu kazi ya Mungu haina makosa...
 


Inna Lillahi wa Inna ilayhi Raj'oon.
Verily to Allah we belong and to him we shall return
Hakika sisi ni wa Allah na kwake Yeye tutarejea

Subra na Salah; bila ya shaka Allah yu pamoja na wanaosubiri.
"Surely Allah takes what is His, and what He gives is His, and to all things He has appointed a time...so have patience and be rewarded."
[Bukhari]



Oh Allah enlighten his grave and make it spacious and a garden of the gardens of Jannah, and do not constrict him in a pit of the pits of the fire. Oh Allah conceal his faults above the earth and below the soil and on the day he is displayed before you. Oh Allah send tranquility upon the hearts of his families and replace him in Jannah with families better than he, for certainly you are over all things capable.
*Ameen thuma Ameen*

 

Pole sana mkuu, Mungu ametoa Mungu ametwaa jina la Bwana lihimidiwe, Hebu edit hapo kwenye red please.
 
pole sana MPWA!
TUKO PAMOJAAZ
TUTAMPIGIA SIMU,na ratiba zikiruhusu tutahudhuria mazishi
 
Pole kwa kumpooteza dada yako Mzizi; Jipe moyo, Mungu awatie nguvu na kuwapa faraja, pole sana Mkuu.
 
Mzizi mkavu, pole sana katika kipindi hiki kigumu, Familia ilimpenda lakini Mungu kampenza zaidi,

Chamhimu dumisha maombi na Mungu atakusaidia.

Bwana alitoa, Bwana ametwaa jina la bwana libarikiwe.
 
Pole sana mkuu ni mipango ya Mungu. Nakutakia moyo mkuu, wape pole wengine!
 
Pole sana kwa msiba. Mungu akupe nguvu na ujasiri katika kipindi hichi kigumu. R.I.P Lovely sister .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…