Wakuu, yuko wapi Balozi Dollar Soul?

Wakuu, yuko wapi Balozi Dollar Soul?

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
Salaam.

Huyu jamaa ni among ma rappers niliokua nawakubali sana back in days hasa ile ngoma yake ya Wengi Walikuepo.

Jamaa alipotea kabisa kwenye tasnia ya mziki and last time iChecked walisema yuko states.

Kwa mwenye ufaham wa huyu jamaa's whereabouts na kama bado anafanya mziki naomba anijuze!
 
Updates karudi yupo kwa bibi yake Nachingwea huko krb na wanapochimba gesi.
 
Salaam.

Huyu jamaa ni among ma rappers niliokua nawakubali sana back in days hasa ile ngoma yake ya Wengi Walikuepo.

Jamaa alipotea kabisa kwenye tasnia ya mziki and last time iChecked walisema yuko states.

Kwa mwenye ufaham wa huyu jamaa's whereabouts na kama bado anafanya mziki naomba anijuze!

Alikuwa ma USA kitambo sijui kama amesharudi bongo

Sent from my iPhone 5c using JamiiForums
 
yupo USA labda kama karudi juz kat maana huwa nachart nae FB maracha chache,... Anakaa Chicago
 
Balozi alikuwepo sasa hivi yuko wapi,yuko wapi.
Wengi walikuwepo sasa hivi wapo wapi.
 
Balozi alikuwepo sasa hivi yuko wapi,yuko wapi.
Wengi walikuwepo sasa hivi wapo wapi.
UNACHANA KUMBE???
magiadancantes60.gif
 
  • Thanks
Reactions: amu
Hiyo ni fani yangu.
Nlivuma 2000's sasa najipanga kurudi kama kawaida kwa p funk
usiniambie ww ni dada p...............!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom