Mkuu nielekeze namna ya kupost link jf maana hii post ilitakiwa ije na link ndo ingeeleweka zaidi.Support gani unataka chief ?
To accomplish much you must first lose everything..
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mkuu nielekeze namna ya kupost link jf maana hii post ilitakiwa ije na link ndo ingeeleweka zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona yuko serious halafu kaweka huku jukwaa la utani?Andika wazo lako vizuri utapata msaaada kwa wadau
Labda kwa kuwa wahusika ni wa STAND UP COMEDY