wakuuuuuuuuu njoon basi

Kaunga nakwambia unaweza
geuziwa kibao kama wewe ndie mkosaji natamani ningekuwa najua kupiga
tarumbeta.

Njoo nikufundishe maana nacho ni kipaji! Olympic wangekitambua sijui ningekuwa na medali ngapi?
 
mmh yahtaj moyo

I dont believe in adhabu, l believe in talking and reasoning things together. Sasa tafuta muda muongee mustakabali wa ndoa yenu; ukisisitiza kuwa cheating huwezi ivumilia na kwanini unaona haifai. Pata mtazamo wake anaonaje kuhusu kuwa commited, na ...... bwana unajua jinsi mnavyoongeaga (nimechoka kufikiri)
 
Njoo nikufundishe maana nacho ni kipaji! Olympic wangekitambua sijui ningekuwa na medali ngapi?

Hongera Ennie, tabidi nami nije;
Chauro the thing is sio kupiga tarumbeta (mimi sijui pia, halafu mvivu) lakini kuwa na msimamo, waweza ongea maneno mawili matatu lakini yakamchoma mtu kuliko maneno 300 yasiyo na uzito.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna kosa lolote kushika simu ya mwenzi wako.
 
hivi ingekua ni wewe umekuta msg kama hy ka2miwa mkeo ungefanyaje?
 
wakuu,hivi kama ukivizia simu ya mmeo au mkeo ukakuta sms ya kimapenzi,then huyo mtuhumiwa anakugeuzia kbao kuwa kwa nini umeshika simu yake,hapa nani anakosa
Mwenye makosa ni huyo alokutwa na sms ya kimapenzi kwa sababu inaonesha ni jinsi gani alivyo msaliti wa penzi. Kugeuza kibao na kukufanya wewe uloshika simu yake ni mkosefu, hiyo ni self defence tu. Nakushauri endelea kushika simu yake ili kama anakusaliti ujue utafte njia ya kujinasua na mijigonjwa hatari, lol!
 
Kumbe na wewe mvivu kama mimi yani nimekuwa mvivu kweli Kaunga maana hata hayo maneno mawili sijui nayatoa wapi.

Hongera Ennie, tabidi nami nije;
Chauro the thing is sio kupiga tarumbeta (mimi sijui pia, halafu mvivu) lakini kuwa na msimamo, waweza ongea maneno mawili matatu lakini yakamchoma mtu kuliko maneno 300 yasiyo na uzito.
 
Mi juzi nimemchapa makofi my wife wangu kwa kusoma message na kunijia juu baada ya kukuta message ambazo ni mdada nilikuwa nachat naye tu kutokana kufahamiana kwa muda mrefu
 
Yule aliyeshika simu ya mwenzie!
 
kwa nini uvizie simu ya mumeo? Una uwezo wa kuishika wakati wowote na kuhoji chochote kilichokaa kimashaka....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…