Hamada umelewa!!!@@@umelewa eeeeh
unaweza kuhisi amelewa kumbe yatoka moyni jana nilikuwa kwenye kashere fulani
fulani nikawa namsikiliza dada mmoja akilalamika mamamkwe anavyomtesa anakuwa kama kaolewa na mama na mtoto sasa nikasema hapa kazi nzito kwa kweli...hamad ikaniuma niliposikia yule mama akimwambia kakake mi nimeapa sitomzalia fred kabisa kwa kashfa za mamake looh
nkasema niwaabahalishe wakwe zetu jamani wakti mwingine unaweza hisi mkweo si riziki kumbe vituko vyako na haya uishia mwanawenu kulea mtoto si wake na watu wanakula raha