Kama hutaki mwanao aoe au aolewe na Y ,then TOA SABABU, wewe kama Mzazi.Kuna hasara nyingi hata kama kuna faida kukaidi ushauri wa wazazi.Kuna wazazi wanaokuwa na siri nzito sana kuhusu vijana wanaotaka kuoana ilhali vijana wenyewe wanakuwa hawajui. Nimewahi kuona hali kama hii - ambapo wale vijana walikuwa ndugu lakini wenyewe hawajijui.... wazazi wao walifanya " kosa" na kufanya siri... kuendelea kung'anga'nia ni makosa.
mimi kwa mtazamo wangu ni kuwa hata kama wazazi wamekataa ili mradi vijana wamependana ni kuoana tu.Mi nilioa mywaifu wangu while my parents was opposing but at the end of the day they agreed on my decision na mambo burudani tu
Kuna hasara nyingi hata kama kuna faida kukaidi ushauri wa wazazi.Kuna wazazi wanaokuwa na siri nzito sana kuhusu vijana wanaotaka kuoana ilhali vijana wenyewe wanakuwa hawajui. Nimewahi kuona hali kama hii - ambapo wale vijana walikuwa ndugu lakini wenyewe hawajijui.... wazazi wao walifanya " kosa" na kufanya siri... kuendelea kung'anga'nia ni makosa.
Kwanini iwe siri isiyoweza kuelezeka? Unajua wakati mwingine wazazi nao wanakosea kama kijana hakufanya siri akawaeleza wazazi hivyo wazazi wanapaswa kusema kuwa wanamkataa mwenza wa kijana wao kwa vigezo a, b, c ...! Ili kuepuka chuki na migongano isiyokuwa na ulazima! Ni hayo tu wadau napenda kuwasilisha!🙄Kuna hasara nyingi hata kama kuna faida kukaidi ushauri wa wazazi.Kuna wazazi wanaokuwa na siri nzito sana kuhusu vijana wanaotaka kuoana ilhali vijana wenyewe wanakuwa hawajui. Nimewahi kuona hali kama hii - ambapo wale vijana walikuwa ndugu lakini wenyewe hawajijui.... wazazi wao walifanya " kosa" na kufanya siri... kuendelea kung'anga'nia ni makosa.
Kama hutaki mwanao aoe au aolewe na Y ,then TOA SABABU, wewe kama Mzazi.
Otherwise ni KAWAIDA WATU KUPATA UPINZANI.
Wengi wetu tulikutana na Upinzani.
KIMSINGI NI KIPIMO kama kweli mpo serious na hiyo biashara.
Siku hizi za soko huria, unaweza kukuta mwanao kaingia kwenye mikataba ya ndoa mara kibao. maana nakumbuka ishu moja jamaa alikuwa amejiandaa kuoa and siku ya mwisho ikagundulika mwali aliwahi kufunga ndoa bomani kumsaidia boi wake wa zamani kupata viza ulaya na alipaswa kuwa na cheti cha ndoa. waliachana lakini hawakuvunja ile bondage.....pia kuna mdogo wangu mmoja anataka kuoa (bomani) hivi karibuni na miaka mitatu nyuma alishawahi kupitia njia hiyohiyo na mzungu mmoja ili kujiwekea mazingira ya kwenda kuishi kule. mara zote hakuna cha mzazi kujua wala nini.
Hivyo suala la wakwe ni muhimu ingawa siku hizi si ishu sana.
...WoS, kwa maana hiyo wewe ni miongoni mwa wale wanao propose mzazi akikataa, ndoa hakuna?
Ndio kusema hata kama wawili wamependana, uamuzi wa wazazi ndio wa mwisho?
Unaweza kuongezea hasara zinazoweza tokea iwapo wachumba hao watakaidi amri ya wazazi wanaopinga?
Kwanini iwe siri isiyoweza kuelezeka? Unajua wakati mwingine wazazi nao wanakosea kama kijana hakufanya siri akawaeleza wazazi hivyo wazazi wanapaswa kusema kuwa wanamkataa mwenza wa kijana wao kwa vigezo a, b, c ...! Ili kuepuka chuki na migongano isiyokuwa na ulazima! Ni hayo tu wadau napenda kuwasilisha!🙄
Mbu,
kuna wazazi wengine wanakuwa na sababu ambazo hazina msingi mfano ati kwa vile huyo mchumba kwao ni maskini, au hana uwezo wa kumtunza binti yao, mara ametoka kwenye background questionable, social status yao ni ya chini .Au kama ndugu ni wa mwanaume utasikia wakisema huyo mwanamke siyo mzuri au ni mvivu etc sababu ambazo siyo za msingi kwa maana wanaenda kuishi wao wawili na haiwahusu wengine.
Ila kuna wakati sababu ni nzito - mfano kuna magonjwa ya kinasaba ( genetic) au sababu za kimila kwa wenye kuamini, wakati mwingine hao vijana ni ndugu kwa maana ya baba au mama yao ni mmoja n.k. hapa utakapokataa ushauri basi yatapokufika makubwa utakuwa huna wa kumlaumu.Mfano kwenye yale magonjwa - utakapokutana na matatizo hapo ndipo utakumbuka ukweli ulioukataa na itakuwa umechelewa sana.
Mzazi anapokuzuia lazima akupe sababu lakini kama hana sababu za msingi hapo napo inakuwa ni shida,wazazi wetu wanaelewa mengi na wakati mwingine huwa wanaona mbali,unajua unapopenda hutaki ushauri hata kama unaenda kutumbukia kwenye shimo,dada mmoja alishawahi kuonywa sana asiolewe na jamaa mmoja akang'ang'ania,sasa hivi ile ndoa imekua ndoano kila siku ugomvi usioisha na imefika mahali kila mmoja anamkashifu mwenzake na kumwona hafai,je angesikiliza ushauri wa wazazi hayo yangemkuta? hayo ni madhara ya kutokusikiliza wazazi.Wakati mwingine wazazi wetu unakuta wanatutakia mema na ndo maana wanajitahidi sana kutushauri ili tusijejuta baadae,na wakati mwingine pia unakuta hawana sababu za msingi sasa unapokaa na kuona hizo sababu kwa kweli sio za msingi hapo cha muhimu ni kukaa na wazazi na kuongea nao na wanaweza kukuelewa.
...ni sahihi kwa wachumba hao kuoana bila ridhaa ya mzazi/wazazi hao?
kwa experience yako, nini 'repercussions' za maamuzi hayo?
Who defines/determines decency? maana hapo ndipo kwenye maswali.Mwanangu ana uhuru wa kuoa/kuolewa na a descent man/woman basi, na si vinginevyo.