Wakwere mpo kwa mara ya kwanza natoa pengezi zangu za dhati kwenu

Wakwere mpo kwa mara ya kwanza natoa pengezi zangu za dhati kwenu

ARGAN MARA

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
1,020
Reaction score
2,716
Habari Wana MMU na kheri ya mwaka mpya binafsi nimekuja kutoa pongezi kwa mabinti wote wa kikwele kwani mmoja wenu kanipatia Mimi kijana wa Mara aisee sijawahi pata kwingine itoshe kusema nyie ni mafundi, mafundi mnajua kwakweli mapenzi yamezaliwa Pwani na siamini Pwani Mimi
 
Hawana~ga choyo ni watu wakarimu sana kama ndugu zangu wa "ujhombhani" na wakata mauno wa umakondeni
 
Back
Top Bottom