Okay siku nikipanda priority class nita zigonga!!
Kuna wazee huwa hawakubali kushindwa Jr, yani hadi anaingia kaburini bado anataka kukata rufaaHuyu Mzee anakitafuta kifo kwa nguvu sana... Bata lake alishakula ujanani apumzike sasa
Jr[emoji769]
Kuna wazee huwa hawakubali kushindwa Jr, yani hadi anaingia kaburini bado anataka kukata rufaa
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππ Na chapaa bila kusahau