Wala bata wa Mwanza huu ndio uzi wenu kupata taarifa mbalimbali

Wala bata wa Mwanza huu ndio uzi wenu kupata taarifa mbalimbali

Joined
Nov 18, 2020
Posts
9
Reaction score
9
Wadau pokeeni salaam kutoka Mwanza,

Huu uzi utakuwa mahususi kwa taarifa mbalimbali kwa wala bata walioko Mwanza hata wageni, unaruhusiwa kuuliza taarifa yoyote itakayokufanya ule bata na kufurahia neema za Mungu zinazopatikana katika jiji hili tamu na zuri.

Karibuni sana.
 
Kwa weekend hii, burudani za kawaida tu zitaendelea katika viwanja vifuatavyo:

1. Cask kwa wale wapenda disco na sehemu ya wazi.
2. Diamond, hapa kwa wale wapenda mziki wa kukaa zaidi.
3. Maduhu_Square_Garden, hiki ni kiwanja kipya kwa watu wastaarabu na wenye familia zao, kipo mtaa wa Uhuru.
 
Mkuu tupia wapi panahappen leo.
 
Mwanza kiwanja ni The Cask tu labda na Bonasera kidogo sehemu zingine ni corner bar zilizochangamka
 
Back
Top Bottom