WALA BATA MWANZA
Member
- Nov 18, 2020
- 9
- 9
Ile ni kama ishakufa.villapark bado imefungwa?.
Vipo vingi, kuna Bundasliga pia.Mwanza kiwanja ni The Cask tu labda na Bonasera kidogo sehemu zingine ni corner bar zilizochangamka
Mtaa wa Uhuru ni masaa 24.Hivi chipsi funga mwanza nazipata kwenye machimbo gani
Siku ukitua sema upewe machimbo.Mkuu endeleeni kuweka updates utanisaidia siku nikitua Zoo!
Bei gani?Mtaa wa Uhuru ni masaa 24.
Ilipo Villa Park kwa nyuma mpaka za 2,000 zipo