Wala Chips, Pizza, Hamburger na Misoseji wanakufa haraka kuliko Wavuta Sigara ( Fegi ) na wala Vyakula vya Asili na Mboga za Majani

Wala Chips, Pizza, Hamburger na Misoseji wanakufa haraka kuliko Wavuta Sigara ( Fegi ) na wala Vyakula vya Asili na Mboga za Majani

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Endeleeni tu ‘ Kufakamia ‘ hovyo Michips, Mipiza na Mihambaga pamoja na Misoseji huku mkijiona mmeukata Kimaisha na kwamba mna Hela za Kutosha wakati kumbe Ulaji huo ndiyo unatusaidia Sisi wengine kuweza Kuwasindikizeni Makaburini mara kwa mara kwenda Kuwazikeni pale mkishaugua Magonjwa yatokanayo na hiyo mivyakula mnayoiita ya Kitajiri ( Kishua )

Kwa wale wavuta Sigara ( Fegi ) msihofu endeleeni tu Kuzivuta kwani inaonekana kadri mnavyozivuta kwa uwingi wake kama Kocha wa Chelsea ndiyo muda wenu wa Kuishi ( Life Span ) unavyoongezeka na pengine labda Watu wengine wasiopenda Kufa kama siyo Kufariki mapema inabidi wawaigeni haraka.

Hata hivyo Utafiti huu haujatusahau akina GENTAMYCINE ambao tokea mwaka 2015 October hadi hivi leo ratiba zetu za Ulaji zimebadilika na kwamba na Sisi tumekuwa ni Watu wa Kupenda Kula Vyakula vya Asili kama Mihogo na Viazi huku tukisherehesha vizuri kabisa Matumbo yetu kwa Matembele, Mchicha na Mnafu kwa sasa huku Maharage yakiwa hayachezi mbali. Na Sisi pia Maisha yetu yatakuwa ni marefu kuliko hata ya hao wala Kishua ( Kitajiri ) na Wavuta Sigara ( Fegi )

Nawasilisha

Chanzo Taarifa: Mtandao wa shefsglobal / Lancet
 
Ulaji wa chips, processed food ( hamburger) pizza 🍕 unaongeza excess fat mwilini ambayo ni coleslaw. Inaleta hatari ya kuziba kwa mishipa ya damu na pia fatty ikizidi kwenye mwili natural insulin haitoshelezi mahitaji matokeo yake ni diabetes type II

Uvutaji wa sigara unasababisha mapafu kuwa na nicotine ambayowhudhoofisha gas exchange, lung tumour, damu na magojwa mengi ya moyo.

Wote tutakufa ni kuchagua tu kufa wakati gani, ukiamua kuvuta sigara unaweza pia kuacha kutumia condom ukilala na dada poa. Yote ni maisha.
 
Ulaji wa chips, processed food ( hamburger) pizza [emoji487] unaongeza excess fat mwilini ambayo ni coleslaw. Inaleta hatari ya kuziba kwa mishipa ya damu na pia fatty ikizidi kwenye mwili natural insulin haitoshelezi mahitaji matokeo yake ni diabetes type II

Uvutaji wa sigara unasababisha mapafu kuwa na nicotine ambayowhudhoofisha gas exchange, lung tumour, damu na magojwa mengi ya moyo.

Wote tutakufa ni kuchagua tu kufa wakati gani, ukiamua kuvuta sigara unaweza pia kuacha kutumia condom ukilala na dada poa. Yote ni maisha.
Mkuu hujawahi kukutana na neno cholesterol hadi unaandika coleslaw?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom