GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Endeleeni tu ‘ Kufakamia ‘ hovyo Michips, Mipiza na Mihambaga pamoja na Misoseji huku mkijiona mmeukata Kimaisha na kwamba mna Hela za Kutosha wakati kumbe Ulaji huo ndiyo unatusaidia Sisi wengine kuweza Kuwasindikizeni Makaburini mara kwa mara kwenda Kuwazikeni pale mkishaugua Magonjwa yatokanayo na hiyo mivyakula mnayoiita ya Kitajiri ( Kishua )
Kwa wale wavuta Sigara ( Fegi ) msihofu endeleeni tu Kuzivuta kwani inaonekana kadri mnavyozivuta kwa uwingi wake kama Kocha wa Chelsea ndiyo muda wenu wa Kuishi ( Life Span ) unavyoongezeka na pengine labda Watu wengine wasiopenda Kufa kama siyo Kufariki mapema inabidi wawaigeni haraka.
Hata hivyo Utafiti huu haujatusahau akina GENTAMYCINE ambao tokea mwaka 2015 October hadi hivi leo ratiba zetu za Ulaji zimebadilika na kwamba na Sisi tumekuwa ni Watu wa Kupenda Kula Vyakula vya Asili kama Mihogo na Viazi huku tukisherehesha vizuri kabisa Matumbo yetu kwa Matembele, Mchicha na Mnafu kwa sasa huku Maharage yakiwa hayachezi mbali. Na Sisi pia Maisha yetu yatakuwa ni marefu kuliko hata ya hao wala Kishua ( Kitajiri ) na Wavuta Sigara ( Fegi )
Nawasilisha
Chanzo Taarifa: Mtandao wa shefsglobal / Lancet