Wala nisiwe Mnafiki leo ninataka CCM Taifa Stars ifungwe na isishiriki 2025 AFCON na ninajua itakuwa tu AMEN

Dah ndugu zangu, mi naona wachezaji ni kama tunawakosea kuwaweka kwenye kikombe kimoja na CCM.

Mi naamini akili zao zinawatuma wanaenda kulipambania Taifa na sio CCM.

Ni kweli CCM miyeyusho ila kuna njia nyingi za kuwaadhibu kuliko kuwaombea mabaya kina Job, Manula, Kapombe, Msuva.
Usinipangie tafadhali.
 
Umeongea kitu,ila wacha kwanza tujifunze.
Kwanza hela yake ndogo,we goli moja milioni 5.

Weka mzigo timu ikifuzu milioni 500 huko watu wajimwage wauane uwanjani
 
Back
Top Bottom