Walah tungeathirika leo endapo tungepoteza hazina hii!!!!


anapatikana wapi huyu bibie je naweza pata contacts zake? nadhan huyu anafaa kuwa mfano wa kuigwa duniani kote
 

Eiyer utakuwa haukunielewa vizuri, sikusema kuwa elimu ndiyo inayoleta mafanikio ya biashara bali nilisema kuwa elimu ingemsaidia zaidi kupanua na kucontrol zaidi biashara yake. Elimu pia husaidia kumpanua mtu mawazo na pengine hata kuifanya biashara yake kuwa ya kimataifa. Na zaidi ya hapo, elimu inaweza kusaidia kupunguza kuibiwa kwa kutumia kalamu na kuingia kwenye mikataba hatarishi.
Hiyo mifano uliyoitoa ya watu wasiojua kusoma na kuandika, nakubaliana na wewe kuwa wapo na hata mimi nimekutana nao. Ila wao ni wazi kuwa walipata bahati ya kuwa na wasimamizi wazuri na waaminifu.
Hata hivyo nakubaliana na wewe na nilisema mwanzo kuwa si vyema tukawabagua wenzi wetu kwa sababu ya weakness fulani kama elimu, bali tuwatie moyo kuondoka na weakness hiyo kama kuna ulazima wa kufanya hivyo.
 
Last edited by a moderator:
Niambie uzoefu wako kuhusu wamama wa makabila mengine!

Makabila mengine sio kwamba hawawezi kusimamia biashara za familia ila wanaitaji close supervision kutoka kwa waume zao ili hizo biashara zisimame.
 

Mimi naona hapa kinachogomba ni wewe kushindwa ku acknowlegde juhudi ya huyu mama kwa kukimbilia madai ya kuongeza elimu. Je ameweza vipi ku control biashara zake hadi kuwa na mafanikio? Mimi nadhani tunakosea sana pale tunapodhani elimu hupatikana tu darasani kumbe elimu ni kitu ambacho kiko progressive. Inaonyesha wazi kila hatua anayopiga mama inaendana na jinsi anavyojielimisha. Ni wazi atahitaji elimu zaidi ili afanikishe kuendesha benki.....
 
Last edited by a moderator:
DUU mke wangu ana digrii hata kuku hajui kufuga!lol!wanawake wa dot com tabu tupu wapo busy na facebook

badala ya kumlaumu mkeo mshirikiane kama family kuanzisha miradi atlearn tu. hakuna mtu aliyezaliwa anajua kila kitu
 

Sijakuelewa dada / kaka , unamaanisha elimu gani? Hizi hizi za necta na mwisho wa siku vyuo vyetu magumash au world class educations? Maana kama ni hizo wengi tulionazo hatuwezi kufuga hata kuku, tunaishia kulilia ajira tu na kuilaumu ccm
 
Last edited by a moderator:
Dada yangu King'asti akisikia umesema haya mi simo,yeye anasemaga eti mwanaume bila hela na elimu ni kama bajaji bila matairi . .Lol!!

:biggrin1::biggrin1: inaelekea yeye ashazoea mteremko ndo maana kwann mara moja moja na yeye asitunze?
 

like. . . Like. . . Like . . .like!!!!
 
Makabila mengine sio kwamba hawawezi kusimamia biashara za familia ila wanaitaji close supervision kutoka kwa waume zao ili hizo biashara zisimame.

Umeyajuaje yote haya????
 

Kama elimu inashindwa kumfanya mtu ajitambue,anashindwa kuanzisha hata bustani ya nyanya anabaki kuzurula na makabrasha yake kuomba kazi,itawezaje kufanya yote hayo?
 
Last edited by a moderator:

Hata mimi huyu horse power simuelewi? Elimu ni uwezo sio cheti na kuna formal education na informal education, sasa huyu mama ana informal education ya hali ya juu as kila stage akipita anajifunza na hii ni nzuri zaidi ya darasani, kizaz cha sasa tunaimini sana elimu ya darasani hata kuchagua wenza ndo maana wengi hawafanikiwi as daily matatizo tu,,,

Huyu mama anapata credit za kutosha as ni kifaaa,,, hiyo elimu anayoisema horse power akaisome yeye mwenyewe imsaidie as mama anajisaidia kwa informal education na mzee alifanya wise choice kuoa huyu mama....
 
BADILI TABIA,nimefurahi kwa kuuona mchango wa mume pia,lakini uliyosema ni kweli,tatizo wanaume wengi hawajiamini,na kama hujiamini ni vigumu sana kumuamini mtu yoyote!

Mi hapo kwa red huwa napapinga sana kwani wanaofanya tusijiamini ni wanawake wenyewe! so wao ndo tatizo......
 
DUU mke wangu ana digrii
hata kuku hajui kufuga!lol!wanawake wa dot com tabu tupu wapo busy na
facebook

Ndo wlwl wanaume tunaosema kl ck,ulishawahi kumpa mawazo au unalalamika jf akingia hm humwambii.
 

Uclaumu ulipoangukia angalia ulipo jikwaa,umekosea ktk uchaguzi,wezako wanakula raha na wake zao ucdhani wote wkivo,pole!
 

Enzi hizo wakati natafuta mwenza ilifikiwa mahali nikafuta kabisa kipengele cha elimu. In fact, niliondoa vipengele vyote nikabakisha cha 'love first' mengine baadae. Loh, nikajikuta nimeangukia kwa fomu 4 wakati huo mi above degree moja, lakini sasa wote tuko level sawa na tuko fresh kabisa!

Binafsi huwa nawashauri vijana wasiangalie kabisa hiki kipengele cha elimu, lakini ni kama huwa nampigia buzi gitaa, hadi yawakute ndo wanakumbuka ushauri wangu.
 
ongezea pia wako busy kwenda saloon

sasa ulitegemea wasijitunze kwa usasa jukumu lk nn ww suruali?necha ya mama ni u rembo,ndo nyie mnaotaka wake zenu wawe km ma house girl wenu.ht mkitoka ham mech,unanukia casablanka mkeo ananuka kikwapa cha moshi wa kuni,wapi mmepotea c dunia ya sasa saloon km kawa ni jukumu lk kuhudumia mavazi,malazi na mahitaji mengine lau umeshindwa kaa ndani ukune nazi yy akatafute.
 

I support you kwa asilimia 100%!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…