Walah tungeathirika leo endapo tungepoteza hazina hii!!!!

Eiyer naomba nimsaidie HorsePower. Ni kwamba hao wenye elimu lakini hawafanikiwi hata nusu ya huyu mama ni kwa sababu pamoja na elimu waliyonayo lakini hawana vipaji alivyonavyo huyu mama. Kumbuka pia kuna wenye vipaji alivyonavyo huyu mama na elimu na wana mafanikio makubwa kuliko ya huyu mama.
 
Last edited by a moderator:


Noted Mtambuzi, thanks.
 
Last edited by a moderator:

Nafikiri sikuelewaka, hivyo nashindwa kuendelea. Ila nashukuru kwa mchango na ufafanuzi wenu.
 

So,kipi ni kipi?Elimu au kipaji?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…