....kwa ajili ya hayo Mungu aliwaacha katika tamaa za mioyo yao, wafuate uchafu, hata wakavunjiana heshima miili yao. Warumi 1 : 24. .....Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi yao ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili. Warumi 1 : 26
usijifunze kwa mwanadamu mwenzio na elimu zitoazo faida sehemu yenye hasara bali pia angalia na Mungu anasemaje jaribu kuisoma hiyo mistari hapo juu, kwa makini
....kwa ajili ya hayo mungu aliwaacha katika tamaa za mioyo yao, wafuate uchafu, hata wakavunjiana heshima miili yao. Warumi 1 : 24. .....hivyo mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi yao ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili. Warumi 1 : 26
usijifunze kwa mwanadamu mwenzio na elimu zitoazo faida sehemu yenye hasara bali pia angalia na mungu anasemaje jaribu kuisoma hiyo mistari hapo juu, kwa makini
well, together we'll plant a good seed, so as to reap what i'll be best to otheri like it!!!!! Senki yu veri machi!!