NG'ADA Senior Member Joined Sep 2, 2011 Posts 152 Reaction score 15 Oct 14, 2011 #1 Huyu ni mshindi wa tusker project fame 2009...alikua sun ciro aliweza sana kuteka club, na ilikuwa ni active live show... wabongo tumeshindwa kabisa?
Huyu ni mshindi wa tusker project fame 2009...alikua sun ciro aliweza sana kuteka club, na ilikuwa ni active live show... wabongo tumeshindwa kabisa?
N Ndole JF-Expert Member Joined Jul 1, 2011 Posts 349 Reaction score 60 Oct 15, 2011 #2 Jamani utafikiri wote tulikuwepo. Weka chochote cha kuthibitisha show yenyewe
only83 JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 5,343 Reaction score 2,527 Oct 15, 2011 #3 Sisi tunaweza kushika sehemu za siri na kubana pua wakati wa kuimba.....
Bukanga JF-Expert Member Joined Dec 13, 2010 Posts 2,857 Reaction score 1,936 Oct 15, 2011 #4 ndo nini sasa hi habari imekaa kama huo mti kwenye avatar yako ........
feis buku JF-Expert Member Joined Aug 29, 2011 Posts 2,341 Reaction score 677 Oct 17, 2011 #5 NG'ADA said: Huyu ni mshindi wa tusker project fame 2009...alikua sun ciro aliweza sana kuteka club, na ilikuwa ni active live show...wabongo tumeshindwa kabisa? Click to expand... we ulikuwepo??? na mbona sikukuona???
NG'ADA said: Huyu ni mshindi wa tusker project fame 2009...alikua sun ciro aliweza sana kuteka club, na ilikuwa ni active live show...wabongo tumeshindwa kabisa? Click to expand... we ulikuwepo??? na mbona sikukuona???