Hisha Sorel
Senior Member
- Dec 27, 2017
- 192
- 140
Yani ukipita instagram, kila mtu anauza dawa za kuchubua ngozi ili "kutakatisha ngozi"
Muda huo huo tunasikia watu fulani wanasafilisha dada zetu kunyanyaswa nje ya nchi!!
Tunasikia, ndani ya lugha ya kiswahili, ngozi ngeni zikisifiwa: "flani flani ana mzuri kweli kwani ana-asili ya kihindi"
Tunasikia ubaguzi wa wazawa kwenye mahoteli: Mfano ni hoteli inayotaka mtu a-"book" akiwa Italia tu!!!
Tunasikia upigaji wa wazawa makazini, upigaji wa wadada zetu kwenye majumba ya watu flani.
Nyumba za Taifa kuishi tabaka flani tu!!
why hakuna Tanzanian Nationalists, Black Nationalist
south Afrika wa EFF, INDIA wana RSS, America wa the tea party, England wa EDL !!!
Afrika hakuna vijana wakeleketwa!?
nini kifanyike ili kusukuma mhamuko wa kisiasa unaolenga kulinda na kunyanyua vijana weusi wawe proud na ardhi na ngozi zao, ili wazipiganie?