Wale ambao bado hatujavunja amri ya 6 mwaka huu tukutane hapa

Hallelujah [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Ndio mana nimeacha mie nimeamua kuzaliwa upya
Hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha
 
Hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha
Vepeeeeee hiki kicheko jamani we dada
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mgeni wako leo mwambie anitumie rushwa yangu
Hela ile ile ilomuuza Yesu, ndo imemsaliti Sakayo!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naanzaje sasa kukupiga risasi hivi nitaweza kweli
hahahah.... basi unisemehe kwa mtekaji kama ukikuta bado nna namba ya cutey..

kwanza leo nimeangalia dp yake kabla sijafuta namba nikaona kajichubua huyo ndio nikapata moto wa kufyekelea mbali namba yake kawa mweupe akati weupe mzur ni ule natural kama wa insta babe [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…