Wale ambao bado hatujavunja amri ya 6 mwaka huu tukutane hapa

Hahhahah ulivyosema supu ya cabage umenikumbusha nina rafiki yangu akiona kanenepa kidogo tu ndio diet yake hiyo anatembea nayo tu ukifika mda wake anakula nacheka sana
hahahaha....kuna mmoja tupo naye job naye ndio maisha yake hayo asubuhi hadi jioni yy ni maji ya uvuguvugu na supu ya cabage... wanawake kweli mnapata tabu [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…