Wale ambao bado hatujavunja amri ya 6 mwaka huu tukutane hapa

Tatizo lako ni moja....

Unafikra kwamba kila unaetaka kugegedana nae lazima aje awe mume wako....

Wengine for leisure, mkimaliza shughuli kila mtu na mambo yake.....

Chaputa ya nini???

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa we unataka nimalize ujuzi bila cheti wapi na wapi

Kwahiyo mkuu unanifundisha nini kwa haya uliyo nambia.

Chaputa nikatalii [emoji85]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…