Nahisi tunacomment humu pia[emoji23]Ambao hatujawahi kuvunja amri hiyo na hatutarajii kuivunja tunakomenti wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa nyie mko wengi sisi wachache... msipotaka kushea hao wenzenu mnataka vikojoleo vyao vizibe?
Kuwa single sio sifa ni upweke wa hali ya juu, nyie ndiyo watu hatari duniani huwa mnaji murder sanaNgoja niwahi siti
Hakuna shida mzee baba,tumeuanza mwaka vizuri na tunauendeleza vizuri
2019 ni mwendo wa kuwa single tu
Tumechokaaaaa.
Unastahili tuzoWatu toka mwaka juzi, mzee baba unahesabu siku 11 nina siku nyingi sana
Ndo maana nimejipunguza kwenye wingi nabaki mwenyewe ili idadi ipungueSasa nyie mko wengi sisi wachache... msipotaka kushea hao wenzenu mnataka vikojoleo vyao vizibe?
Unataka usikie raha ya nini, sometimes unamridhisha mwenza tu, you do for the sake of your relationshipNikitenda hilo tendo wakati cna hela au nnatatizo lolote linanisubua kwa wakati huo hua sickiag raha
Aa wapi hakuna kuji murder wala nn ninavyopenda kuishi hivi aaaa a wapi mkuu labda wengine sio MimiKuwa single sio sifa ni upweke wa hali ya juu, nyie ndiyo watu hatari duniani huwa mnaji murder sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unajua bado nakusubiri?Nahisi tunacomment humu pia[emoji23]
Haya nitunzie mamiiii....Ndioo[emoji23] namtunzia mume[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kikiziba kwa kutu usinilaumuNdo maana nimejipunguza kwenye wingi nabaki mwenyewe ili idadi ipungue
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenye husda hawatatuacha salamaNahisi tunacomment humu pia[emoji23]
Pamoja mkuu....wapo wanaosema huu ni usajili mpya wa chaputanipo hapa mkuu
Hahahhahaha!!
[emoji23][emoji23][emoji23]Kikiziba kwa kutu usinilaumu