Wale ambao hamjaripoti sua

Wale ambao hamjaripoti sua

Msabaha lk

Member
Joined
Apr 21, 2012
Posts
84
Reaction score
21
Habari ndugu zangu mnao kuja SUA. Milango ipo wazi usajii umeanza. muhimu njoo na ada ya semester1 na michango mingine kama ilivyo kwenye web yao. kama una mkopo jua kiasi flani umesha lipiwa ongezea zifike kama 850 elf kisha tia timu. nawasilisha
 
Duh hapa ni mazinguz knyama,yani hata buku ikpelea hawakusajl,mambo gan haya
 
Kuna wengne wamekosa usajil thr4 wamepgwa doro hawajui pakwenda' had huruma hvyo ndg mlokua hm mjipange!
 
Tena msisahau! kama una bima ya afya NHIF usiisahau huku ni dili! itaokoa mkwanja mrefu.
 
Back
Top Bottom