Fisher_8
Member
- Jul 26, 2019
- 80
- 225
Heri ya siku ya Baba yetu wa taifa wanaJF
Vipi pale umemaliza shule O-level/advance then umefeli.
Wenzio wanaenda/wapo/wamemaliza chuo. Unajisikiaje?
Au unajisikiaje pale unaulizwa na manzi chuo ulisomea nini? Daah ni swali jepesi lakini ni gumu sana kujibu.
Embu tubadilishane uzoefu wakuu.