Wale ambao hatukuwahi kuwa wasafi siku ya ukaguzi shule ya msingi tukutane hapa

Kukaguana kama umepiga mswaki ilikuwa ni noma
 
Yani skutaka kukumbuka..

Nlikua nakatongoza kademu flani hv kalikua ni kakiranja chamto nlikua nakiona asee. Kila alhamisi lazma kaje mstari nlio simama kunikagua afu kananitoa mbele kwani shati chafu, kaptura ya khaki lakin ilikua nyekundu soksi za pundamilia chafu hadi nimegeuza ndani nje nje ndani.. Uku kale kangoma ka "kama mchafuu pitaa mbelee" πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚.. bas nlikua nanuna sku hiyo hata begi simbebei na viaz simnunulii saa nne hahaha duuh asee nimekumbk mbali sana teh teh...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…