Siku hizi kuna msemo maarufu sana wa 'pira papatu papatu', wengi hawaelewi asili ya msemo huu.
Msema huu asili yake mchanganyiko wa struggles za na sauti zitokanazo na samaki anapokua akirukaruka kwenye majibau matope.
Nadhani tumeelewana.
View attachment 2734531
Pata video