Umependa michango yake..
Umempenda.....
Unahisi anaweza akawa company yako umshirikishe ktk ishu zako ....
Unapobofya ID yake... Unakutana na ujumbe mkali unaokuumiza moyo... " this member limits ........." malizieni.
Hivi kwanini!?? Hivi mnajua ni bahati gani mnazipoteza kwa kuficha profiles zenu!?