Nina afro kuna siku naona uvivu kuchana nywele so nikaanza kuvaa mizula mwaka 2010. Japo kwa sasa nimepunguza navaa zaidi caps.
Changamoto kubwa niliyokutana nayo especially ya mizula ni ile ninaonekana rasta man, pia kipindi naishi na wazazi ilikua ni ugomvi na mama alikua hataki kabisa nivae.