Eng Kahigwa
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 783
- 631
Nilikuwa zangu Kimara, ghafla upepo wa kisulisuli ukanibeba na kujikuta kwenye kisiwa cha Ukerewe nikiwa na wavuvi.Ebwana jana nimesubiri kwa hamu sana upepo unipitie ila kwa bahati mbaya mpaka nikasubiri mpaka jioni sijaona upepo kunipitia wala nini. Sasa wadau kuna mtu yeyote ambaye amepitiwa na upepo na kumpeleka mlima wa moto. Na ulifanikiwa kupata mzigo?