Eng Kahigwa JF-Expert Member Joined Feb 18, 2014 Posts 783 Reaction score 631 Oct 21, 2019 #1 Wakulonga said: Ebwana jana nimesubiri kwa hamu sana upepo unipitie ila kwa bahati mbaya mpaka nikasubiri mpaka jioni sijaona upepo kunipitia wala nini. Sasa wadau kuna mtu yeyote ambaye amepitiwa na upepo na kumpeleka mlima wa moto. Na ulifanikiwa kupata mzigo? Click to expand... Nilikuwa zangu Kimara, ghafla upepo wa kisulisuli ukanibeba na kujikuta kwenye kisiwa cha Ukerewe nikiwa na wavuvi.
Wakulonga said: Ebwana jana nimesubiri kwa hamu sana upepo unipitie ila kwa bahati mbaya mpaka nikasubiri mpaka jioni sijaona upepo kunipitia wala nini. Sasa wadau kuna mtu yeyote ambaye amepitiwa na upepo na kumpeleka mlima wa moto. Na ulifanikiwa kupata mzigo? Click to expand... Nilikuwa zangu Kimara, ghafla upepo wa kisulisuli ukanibeba na kujikuta kwenye kisiwa cha Ukerewe nikiwa na wavuvi.
Wakulonga JF-Expert Member Joined Oct 29, 2012 Posts 762 Reaction score 771 Oct 21, 2019 #2 etkahigwa said: Nilikuwa zangu Kimara, ghafla upepo wa kisulisuli ukanibeba na kujikuta kwenye kisiwa cha Ukerewe nikiwa na wavuvi. Click to expand... Ahahahaha! Kwa hiyo ulikuwa ukerewe na mliama wa moto
etkahigwa said: Nilikuwa zangu Kimara, ghafla upepo wa kisulisuli ukanibeba na kujikuta kwenye kisiwa cha Ukerewe nikiwa na wavuvi. Click to expand... Ahahahaha! Kwa hiyo ulikuwa ukerewe na mliama wa moto
Eng Kahigwa JF-Expert Member Joined Feb 18, 2014 Posts 783 Reaction score 631 Oct 21, 2019 Thread starter #3 Wakulonga said: Ahahahaha! Kwa hiyo ulikuwa ukerewe na mliama wa moto Click to expand... Wee acha tu...ndo upepo wenyewe huo, haujulikani unakupeleka wapi aisee
Wakulonga said: Ahahahaha! Kwa hiyo ulikuwa ukerewe na mliama wa moto Click to expand... Wee acha tu...ndo upepo wenyewe huo, haujulikani unakupeleka wapi aisee
Bulaya001 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2018 Posts 5,987 Reaction score 6,682 Oct 22, 2019 #4 nipe maana ya upepo wa kisulisuli tafadhari.