Wale ambo tulikuwa wabishi kusajili line za simu kwa alama za vidole na mpaka leo zinatinga tukutane hapa

Wakulonga

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
762
Reaction score
771
Mimi nilikuwa miongoni mwa watu ambao nichukulia poa zoezi la kisajili laini kwa alama za vidole nikajua tz ndo zetu huwa mambo hayaishi na ni kweli mapka leo laini yangu inapiga mzigo mwanzo mwenga. Je wewe uzimiwa au inapiga mzigo
 
Hiyo simcard ikifa au simu ikipotea ndio utakua mwisho kutumia hiyo.line
 
Line zangu mbili zote zinapiga kazi

sikusajili wala sijui alama za dole ndio nini
 
Binafsi zote hazijafungiwa natamba!
Kuna watu wanatuogopa na hawatuwezi sisi ndo nchi wengine wananchi..😂

Waliofungiwa kama nawaona vile mmevimba mashavu😜
Na wengine mmesajili majina si yenu jitu linamindevu na kitambi bila kusahau kipara lkn utakuta jina la usajili linaitwa AMINA S.KIDEBE!!
 
Hapo ndo tatizo lilipo mimi ndo mana niligoma kama mbwai mbwai. Na hadi sasa inaendelea kuchapa kazi
 
Back
Top Bottom