Sina uhakika mkuu ila haya yanabandikwa kwenye maduka ya wakala si kwenye nguziKumbe na yale matangazo ya nguvu za kiume kuna watu huwa wanalamba ujira kuyabandika?
Mbona umefunga dm yes hayo hubandikwa ktk maduka ya wakala na sehemu zinazohusika na hiyo huduma tu so ukishabandika unapiga picha kuconfirm so ni usharp na kujuwa locationsSina uhakika mkuu ila haya yanabandikwa kwenye maduka ya wakala si kwenye nguzi
Kabisa ngoja nifungue sujatumia siku nyingiYa kijanja sana hii 12000 kwa siku ya chap
Mbona umefunga dm yes hayo hubandikwa ktk maduka ya wakala na sehemu zinazohusika na hiyo huduma tu so ukishabandika unapiga picha kuconfirm so ni usharp na kujuwa locations
Kila kitu watu hujua ni utapeli ndyo maana....vijana njooni Kwa Wingi shekilango..hakuna kazi nyepesiHumu vijana hawachangamkii kabisa yani...
Nina uzi wa ajira nimeeleza hili suala humu
Fursa za kazi kwa vijana zilizopo Tanzania
Habari za wakati huu. Nahitaji mtaalamu wa Kilimo na ufugaji aliyemaliza SUA ngazi ya Cheti au diploma Eneo la kazi : Morogoro -Kilosa *0654905298 CDO FADHILI S*www.jamiiforums.com
Kazi ya siku ngapMm mtu asipm aje shekilango ....utasema umesoma post ya womanity
Utakutana na wanaohusika
Hela uhakika unapewa na nauli...acha kulala hapo kwenye sofa la shemeji Ebu njoo tubandike Poster...kama graduate unaona aibu vaa kofia chaap!!
Hii temporary mara nyingi wiki mbili....inategemea na idadi ya wabanfikaji posterKazi ya siku ngap
YahHabari, kesho naweza kuja !? Maana tangazo nimeliona Leo
π π π πHii nzuri ukipata bicycle ya chama ni mwendo wa kukuzunguka dar nzima