Wale Ma Don wa JF msiwaze tutafungiwa kundi la mwisho line zetu

Mimi saa sita ilipofika nimetumiwa ujumbe tayari

Ila uzuri ni kuwa ukienda kusajili leo leo basi inafunguliwa,kwa hyo kilichozuiwa ni mtu kuwa hewani wakati namba yake haijasajiliws kwa alama za vidole,ils zoezi la usajili ni endelevu kabisa




Sent using Jamii Forums mobile app
 
safuher ok sawa nilihisi labda wamefunga kwa mikoa cos mi mwenyewe sina kitambulisho wala namba ya NIDA, ndiyo kwanza nilienda alhamis last week kujiandikisha.
 
Safari ya mwisho alisikika yule msichana mwenye sauti nadhifu akisema yeye anataka kuolewa na mfalme mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…