Wale mabachela wenzangu naomba tukutane hapa

unjubrown

Member
Joined
Sep 19, 2017
Posts
32
Reaction score
15
Waliokua mabachela kama mie naomba
Tujadili kidogo hapa kuhusu ubachela
 
Sijakuelewa
heading umesema mabachela tukutane hapa
content unasema waliokuwa mabachela
Naomba unifafanulie unawahitaji mabachela au waliokuwa mabachela
 
Hivi bachela ina bidi awe na umri gani maana utakuta ni katoto hakajafikisha 30 kanasema mabachela wakutane hapa
 
Tuko hapa ebu toa mwongozo what's up..??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…