Wale mafundi tulowai kuanguka jukwaani tukutane hapa

Wale mafundi tulowai kuanguka jukwaani tukutane hapa

maji ya gundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
3,070
Reaction score
4,698
habarini wakuu, wale nakumbuka siku moja ilinibidi nipige plasta kisusi nlikua na msaidizi wangu mmoja hivi namuamini sana nikamshirikisha kwene zoezi la kutengeneza jukwaa, jukwaa lilikua linasua sua ila nikajipa moyo kua sikai mda mrefu,asee ile kuanza kupokea udongo ndoo ya kwanza tuu nilijikuta nipo chini huku nikisindikwa na ndoo na mambao ikabidi kazi ihairishwe asee.


nd

hapo ndipo nilipounga mkono ile kauli inayosema unaemuamini ndiye atakae kuangusha
 
Kuna kitu nilitaka niandike hapa....ila nitawakosea heshima na nitaharibu uzi wa watu
 
Nilibeba mfuko was smenti kichwani for the first time nilikaa wiki ukiniita sigeuki
 
Back
Top Bottom