habarini wakuu, wale nakumbuka siku moja ilinibidi nipige plasta kisusi nlikua na msaidizi wangu mmoja hivi namuamini sana nikamshirikisha kwene zoezi la kutengeneza jukwaa, jukwaa lilikua linasua sua ila nikajipa moyo kua sikai mda mrefu,asee ile kuanza kupokea udongo ndoo ya kwanza tuu nilijikuta nipo chini huku nikisindikwa na ndoo na mambao ikabidi kazi ihairishwe asee.
nd
hapo ndipo nilipounga mkono ile kauli inayosema unaemuamini ndiye atakae kuangusha