Wale mashabiki wa mbabane tukutane hapa

Punda wa nyuma kapigwa mijeledi wewe punda wa mbele mayowe na kelele za nini?Mtu anashughulikiwa chumbani wewe unakata kiuno dirishani huku ukiguna kwa uchungu.
 
Leo wamepigwa mbabane wa swaziland na mbabe wa jangwani aka vyura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…