Wale Minaki Mpo?

LOL,Unanikumbusha mbali Tunu SIZA alikuwa demu wangu ila nimepata tetesi kaolewa na ana watoto .INANIUUMA SANA natamani nije bongo.

Muhsini nae mzee wa mbwembwe lol.
haya bwana , endelea kuumia tu
 
LOL,Unanikumbusha mbali Tunu SIZA alikuwa demu wangu ila nimepata tetesi kaolewa na ana watoto .INANIUUMA SANA natamani nije bongo.

Muhsini nae mzee wa mbwembwe lol.

Oya ina maana tulikuwa tunapokezana?? ndio matatizo ya shule zenye mademu wachache na mamen wengi lo!! halafu Tunu siza hajaolewa bado alijiunga na chuo nitafute nikupe details zaidi))
omary kimosa,humphrey mpalaza unawapata?
 
Hivi mwalimu Masumay yuko wapi ? daah huyu alikua mnoko kuliko mwalimu yoyote hapa shuleni, alikua akiamua kukufuatilia daah hutoki.
 
Oya ina maana tulikuwa tunapokezana?? ndio matatizo ya shule zenye mademu wachache na mamen wengi lo!! halafu Tunu siza hajaolewa bado alijiunga na chuo nitafute nikupe details zaidi))
omary kimosa,humphrey mpalaza unawapata?

lol,kama vipi nipe namba yake.mbona nilipata nyepesi kuwa kaolewa?

lol,kwahiyo tulikuwa tunashea......

INAUMA AKI YA MUNGU.NIKIJA NAMSAKA.
 
lol,kama vipi nipe namba yake.mbona nilipata nyepesi kuwa kaolewa?

lol,kwahiyo tulikuwa tunashea......

INAUMA AKI YA MUNGU.NIKIJA NAMSAKA.

namba yake niipoteza nikiwa bongo si unajuwa vibaka wa posta walibeba simu summer ya last year.ila nina hotmail yake lakini wewe ya nini ?si ungechukua mwenyewe?
ulikuwa unakaa bweni gani?
 

Hadi Shikunzi Maximo anaoa? si mchezo....huyu Mjasiriamali ndo nani? naona unataja majina ya watu tu...
 
Hadi Shikunzi Maximo anaoa? si mchezo....huyu Mjasiriamali ndo nani? naona unataja majina ya watu tu...
KWANI UJUMBE HAUKUFIKII MPAKA UJUE JINA LA MTU...?
Kwa nini unashangaa Shikunzi John Msanganzila kuoa, mbona Nelly Kaminyoge ameoa, Juma Samson Josluo ameoa, Lenjore ameoa,kaijage ameoa, Mwasakafyuka samson "MWASA KING" nasikia anamchumba naye si muda mwingi atatangaza ndoa, Stiphene Tall alitaka kuoa demu akaingia mitini, Deo Babile bado msela tu.
 
habari zilizo rasmi ni kua Shikunzi John Msanganzile amepata Jiko, hii ni baada ya kutoka Brazil, binafsi nilikuwepo, kina Nelly na Washikaji wengine kadhaa wa kadha
 
Kulikuwa na mshikaji anaitwa George "BONGE" Alikuwa maarufu kwa kumeza mizigo kama ilivyo.Gupta kuna mtu anamkumbuka? nakumbuka aliingia mitini wakati wa NECTA.
 
Gupta , aah NAFIKIRI tulimaliza mwaka mmoja, huyu nasikia Yuko Texas, alifanya General Study tu kisha nduki kali.....maisha bwana.
 
kaka mmenikumbusha mbali sana,
mr mjale -the late headmaster,masumaye,mzee wa kufuatilia nnjendo,libaba -comrade,pia kuna mtu anaitwa sogoi wazee mnamkumbuka,has lokoo zake za usafi,bwana shamba yule alikua mtata,ila hamfikii mwl malawi,huyu anakupa azabu kwa kupima kwa kutumia manati yaani akirusha jiwe ndo mwisho wa azabu,pia alikua na madaftari matatu ya kuandika watu wa azabu,la kwanza anakusajili baada ya kupewa list na mwl au kiranja,la pili akikupa adhabu an akuandika la tatu akikagua azabu ukameet deadline na viwango vya azabu,alikua anatunza kuliko hata notes zake za somo,
kweli minaki ina mengi ya kukumbukwa
 
kaka kuna mwingine mtotyo wa prof ye alikua maarufu kwa mikate,hataki maharage,akila chakula ujue kwa mama kinyogoli,at the end akazungusha o
 

Hahaha umenifurahisha mshkaji. tulikuwa wote kwenye hiyo timu kiboko ya kiwe. tulikuwa tunasumbua sana ligi daraja la 4 kisarawe. timu ya jeshi ilikuwa inatuogopa sana. kimsingi tulicheza wote nyuma na mimi ndo nilikuwa dala lako!!! najua ushanijua manake tulikuja cheza tena chuo. wakati wa Dabanga ulinikuta form 4. hahaha Mwl Mrope alijiendeleza mpaka siku hizi ni mwalimu wa Chuo - Mlimani! Those were great years Dabanga!
 
Haya wana JF naona watu wanatafutana sana hasa wale wa mashule...akina YOYO na IST!!! sasa basi wale wa Minaki Sec aka mlima kinyanyiko au watoto wa Mjale (RIP) mpo?!
sana tu. ila binafsi kaaya ndolikuwa mkuu. rip two our brothers pata ajari mlima kinyanyiko 2009.
 
Mwl Mkumbo .....alishakufa 7 yrs ago.rip
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…